Mersin
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mersin ni jiji na bandari yenye kazi nyingi ya nchini Uturuki. Jiji lipo katika pwani ya mjini kusini mwa Mediteranea. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Mersin. Takriban watu 2,275,216 wanaishi mjini hapa. Mji upo m 100 juu ya usawa wa bahari.