Memphis Grizzlies
From Wikipedia, the free encyclopedia
Memphis Grizzlies ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Memphis, Tennessee. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Hasheem Thabeet.