Mekelle ni mji mkuu wa jimbo la Tigray katika Ethiopia ya kaskazini. Iko takriban km 650 kaskazini kwa Addis Ababa. Idadi ya wakazi ilikadiriwa mwaka 2016 kuwa 441,991.

Thumb

Kuna chuo kikuu kinachotoa masomo hasa ya kilimo na uchumi.

Historia

Mekelle ilianzishwa kama mji mkuu wa Kaisari Yohanne IV katika karne ya 19. Imeendelea kukua kuwa kitovu cha kiuchumi na kiutawala cha Tigray.

Tazama pia

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mekelle kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.