From Wikipedia, the free encyclopedia
Mbwanda, mbwende au mkwende (Canavalia gladiata) ni mmea wa mazao wa nusufamilia Faboideae katika familia Fabaceae. Mbegu zake, zinazoitwa bwanda au bwende, zinakua ndani ya makaka yanayofanana na upanga. Hata makaka huitwa bwanda. Spishi nyingine za jenasi Canavalia hufananishwa mara nyingi na mbwanda, k.m. C. cathartica (mtela), C. ensiformis (mwingasiafu) na C. rosea (mgobi). C. africana na C. gladiata zinaweza kuwa spishi moja tu na mbile zote huitwa mbwanda.
Mbwanda (Canavalia gladiata) | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mibwanda | ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Mbwanda hukuzwa katika nchi mbalimbali za Afrika, k.m. Madagaska na Tanzania (“kula bwanda” = kufurahi). Makaka mabichi na mbegu mbichi hulika. Lakini mbegu mbivu zina sumu, kwa hivyo lazima zipikwe vizuri na ganda la mbegu litolewe.
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mbwanda kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.