MbuteFrom Wikipedia, the free encyclopedia Mbute ni chakula kinachotokana na zao la muhogo ambao humenywa na kuvundikwa kwa maji halafu huchemshwa. Chakula hicho huwa kitamu kupita muhogo uliopikwa.
Mbute ni chakula kinachotokana na zao la muhogo ambao humenywa na kuvundikwa kwa maji halafu huchemshwa. Chakula hicho huwa kitamu kupita muhogo uliopikwa.