Max Planck
From Wikipedia, the free encyclopedia
Max Karl Ernst Ludwig Planck (23 Aprili 1858 – 4 Oktoba 1947) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa anajulikana kwa kubuni nadharia ya kwanta. Mwaka wa 1918 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Max Planck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand in your browser!
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.