From Wikipedia, the free encyclopedia
Max Born (11 Desemba 1882 – 5 Januari 1970) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza sifa za mawimbi na kuboresha nadharia ya kwanta. Mwaka wa 1954, pamoja na Walther Bothe alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Max Born kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
'
Max Born | |
---|---|
Max Born] | |
Amezaliwa | 11 Desemba 1882 |
Amefariki | 5 Januari 1970 |
Kazi yake | mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.