Mawasiliano ya simu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mawasiliano ya simu (tafsiri ya Kiingereza-Kigiriki "telecommunication" kutoka Kigiriki tele "mbali" na Kiingereza communication "kupeana habari, mawasiliano") ni kazi ya kupeana habari juu ya umbali tofauti na maongezi ya moja kwa moja kati ya watu walio karibu.