From Wikipedia, the free encyclopedia
Matthijs Büchli (alizaliwa tarehe 13 Desemba 1992) ni mholanzi mwendeshaji wa baiskeli[1],kwa sasa anaendeshea timu ya BEAT cycling[2].
Alitwaa ubingwa wa dunia katika mashindano ya baiskeli mwaka 2018 katika mashindano ya mabingwa wa Dunia.Mwaka 2016,Buchli alitunukiwa medali ya fedha katika mashindano ya baiskeli ya olimpiki ya wanaume huko Rio De Janeiro[3],ukiachilia mbali majeraha ya mguu yaliyompata miezi mitano kabla ya michezo hiyo ya olimpiki[4].Büchli alikuwa ni sehemu ya timu aliyoshinda medali ya dhahabu katika michezo ya olimpiki mwaka 2020 majira ya joto kwenye mbio hizo za timu.
Büchli alikuwa ni mwanachama wa kibiashara katika timu ya BEAT cycling pamoja na Theo Boss tangu mwaka 2017.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.