![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/8/8e/Johncross5.jpg/640px-Johncross5.jpg&w=640&q=50)
Matakaso ya Kimungu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Matakaso ya Kimungu, kadiri ya teolojia ya maisha ya kiroho hasa katika Kanisa Katoliki, ni yale ambayo Mungu mwenyewe anawafanyia waamini ili kuwatakasa kuliko wanavyojitahidi kujifanyia.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/8/8e/Johncross5.jpg/320px-Johncross5.jpg)
Matakaso ya Kimungu, kadiri ya teolojia ya maisha ya kiroho hasa katika Kanisa Katoliki, ni yale ambayo Mungu mwenyewe anawafanyia waamini ili kuwatakasa kuliko wanavyojitahidi kujifanyia.