![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/c4/Mario_Balotelli_-_Inter_Mailand_%25281%2529.jpg/640px-Mario_Balotelli_-_Inter_Mailand_%25281%2529.jpg&w=640&q=50)
Mario Balotelli
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mario Barwuah Balotelli (amezaliwa 12 Agosti, 1990) ni mwanakandanda wa Kiitalia.
Ukweli wa haraka Youth career, 2001–2006 ...
Youth career | |||
---|---|---|---|
2001–2006 | Lumezzane | ||
2006–2007 | Internazionale | ||
Senior career* | |||
Miaka | Timu | Apps† | (Gls)† |
2006 | Lumezzane | 2 | (0) |
2007– | Internazionale | 47 | (15) |
Timu ya Taifa ya Kandanda‡ | |||
2008– | Italy U-21 | 15 | (6) |
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only and correct as of 5 Desemba 2009. † Appearances (Goals). |
Funga
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/c4/Mario_Balotelli_-_Inter_Mailand_%281%29.jpg/640px-Mario_Balotelli_-_Inter_Mailand_%281%29.jpg)
Anajulikana sana kwa kasi yake na uwezo wa kiufundi. Balotelli, wakati mwingine hupewa jina Super Mario na watangazaji, anaweza kucheza sehemu yoyote katika safu ya kushambulia, lakini sanasana kama mshambuliaji mkuu. Yeye anajua kupiga 'free-kick" na anaonwa na wengi kama mmoja wa wanakandanda wa Kiitaliano mwenye ahadi na matarajio kwa siku zinazokuja.