From Wikipedia, the free encyclopedia
Marilyn Monroe (1 Juni 1926 – 5 Agosti 1962) alikuwa mwigizaji wa filamu, mwimbaji na mwanamitindo kutoka nchini Marekani. Alikuwa miongoni mwa nyota wa filamu maarufu kati ya mwaka 1950 na 1960.
Marilyn Monroe | |
---|---|
Marilyn Monroe, mnamo 1953. | |
Amezaliwa | Norma Jeane Mortenson Juni 1, 1926 Los Angeles, California, Marekani |
Amekufa | 4 Agosti 1962 (umri 36) Los Angeles, California, Marekani |
Kazi yake | Mwigizaji |
Miaka ya kazi | 1945-1962 |
Ndoa | James Dougherty (1942-1946) Joe DiMaggio (1954-1955) Arthur Miller (1956-1961) |
[marilynmonroe.com Tovuti rasmi] |
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marilyn Monroe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.