From Wikipedia, the free encyclopedia
Marcus Aurelius (26 Aprili, 121 – 17 Machi, 180) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 8 Machi, 161 hadi kifo chake. Alimfuata Antoninus Pius. Mpaka 169 alitawala pamoja na Lucius Verus, na kuanzia 177 alitawala pamoja na mwana wake, Commodus.
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marcus Aurelius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.