Mapambo ya vito
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mapambo ya vito ni vitu vya nakshi ambavyo huvaliwa katika mwili au hata katika nguo alizovaa mtu. Jina hilo hutumiwa kwa vitu vyovyote vilivyompamba mtu.
Vinatumiwa hasa na wasichana, wanamitindo waliobobea katika fasheni, lakini wanaume pia huwa na mapambo yao.