Makubaliano
From Wikipedia, the free encyclopedia
Makubaliano (kutoka kitenzi "kukubali"; kwa Kiingereza: convention) ni muafaka unaoafikiwa na pande mbili au zaidi kwa maridhiano fulani, yanaweza yakawa ni makubaliano ya kisheria ama yasiwe ya kisheria.