MaitiFrom Wikipedia, the free encyclopedia Maiti ni mwili wa binadamu aliyekufa. Mwili wa mnyama aliyekufa huitwa mzoga. "Somo la anatomia" (Taswira ya Rembrandt, mnamo 1632): matabibu wnafundishwa muundo kwa mwili kwa kukata maiti
Maiti ni mwili wa binadamu aliyekufa. Mwili wa mnyama aliyekufa huitwa mzoga. "Somo la anatomia" (Taswira ya Rembrandt, mnamo 1632): matabibu wnafundishwa muundo kwa mwili kwa kukata maiti