Maceió
From Wikipedia, the free encyclopedia
Maceió ni jina la mji mkuu wa jimbo la Alagoas katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 920,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 7 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Kanda ...
Maceió | |||
| |||
Majiranukta: 9°39′57″S 35°44′06″W | |||
Nchi | Brazil | ||
---|---|---|---|
Kanda | Northeast | ||
Jimbo | Alagoas | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 922,458 | ||
Tovuti: www.maceio.al.gov.br |
Funga