MaandishiFrom Wikipedia, the free encyclopedia Maandishi (pia: mwandiko) ni tendo la kushika sauti za lugha kwa njia ya alama zinazoandikwa. Sanamu ya mwandishi (Misri ya Kale). Mitindo ya maandishi duniani buluu: alfabeti ya Kilatini; kibichi: alfabeti ya Kiarabu; nyekundu: Kikirili; njano: mwandiko wa Kichina; kichungwa: miandiko ya Kihindi.
Maandishi (pia: mwandiko) ni tendo la kushika sauti za lugha kwa njia ya alama zinazoandikwa. Sanamu ya mwandishi (Misri ya Kale). Mitindo ya maandishi duniani buluu: alfabeti ya Kilatini; kibichi: alfabeti ya Kiarabu; nyekundu: Kikirili; njano: mwandiko wa Kichina; kichungwa: miandiko ya Kihindi.