From Wikipedia, the free encyclopedia
Kimaasai (au Kimaa) ni lugha ya Kiniloti inayozungumzwa na Wamaasai nchini Kenya na Tanzania.
Lugha hiyo huandikwa kwa herufi za Alfabeti ya Kilatini.
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimaasai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.