![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/b/bb/MuensterPanorama2856alt.jpg/640px-MuensterPanorama2856alt.jpg&w=640&q=50)
Münster
From Wikipedia, the free encyclopedia
Münster ni mji mkuu wa kihistoria wa Westphalia na kwa sasa unamilikiwa na jimbo la Rhine Kaskazini-Westfalia, Ujerumani. Mji una wakazi wapatao 270,000, pia mji una uwanja wa ndege na chuo kikuu. Mji wa Münster ulikuwa mji wenye nguvu sana wakati ule wa Zama za Kati na Zama za Mwamko. Amani ya Westphalia ilisainiwa hapa mjini Münster.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/b/bb/MuensterPanorama2856alt.jpg/640px-MuensterPanorama2856alt.jpg)