From Wikipedia, the free encyclopedia
Luleå (Kisami: Luleju, Kifini: Luulaja) ni mji nchini Uswidi. Mji ulianzishwa 1621. Kuna wakazi 45,467 (mwaka 2005).
Eneo lake ni 28.81 km².Iko katika kaskazini ya nchi kando la Bahari ya Baltiki.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Luleå kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.