Lugha za Kinyulnyulan
From Wikipedia, the free encyclopedia
Lugha za Kinyunyulan ni familia ndogo ya lugha nchini Australia. Katika familia hiyo kuna lugha tisa tu ambazo huzungumzwa upande wa kaskazini ya jimbo la Western Australia. Lugha nyingi za Kinyunyulan zimeshatoweka au zimekaribia kutoweka hivi karibuni.