Makaku ni wanyama wa jenasi Cercocebus, Lophocebus, Macaca na Rungwecebus katika familia Cercopithecidae. Wanatokea Afrika na Asia.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Kaku |
Kaku utosi-mwekundu |
Uainishaji wa kisayansi |
Domeni: |
Eukaryota (Viumbe walio na seli zenye kiini)
|
Himaya: |
Animalia (Wanyama)
|
Faila: |
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
|
Ngeli: |
Mamalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
|
Oda: |
Primates (Wanyama wanaofanana kiasi na binadamu)
|
Nusuoda: |
Haplorrhini (Wanyama wanaofanana zaidi na kima)
|
Oda ya chini: |
Simiiformes (Wanyama kama kima)
|
Familia ya juu: |
Cercopithecoidea
|
Familia: |
Cercopithecidae
|
Nusufamilia: |
Cercopithecinae (Wanyama walio na mnasaba na kima)
|
Kabila: |
Papionini (Wanyama walio na mnasaba na nyani)
|
|
Ngazi za chini |
Jenasi 4 za makaku:
|
Funga
- Cercocebus agilis, Kaku Kijivu (Agile mangabey)
- Cercocebus atys, Kaku Mweusi (Sooty Mangabey)
- Cercocebus chrysogaster, Kaku Tumbo-dhahabu (Golden-bellied Mangabey)
- Cercocebus galeritus, Kaku wa Tana (Tana River Mangabey)
- Cercocebus sanjei, Kaku wa Sanje (Sanje Mangabey)
- Cercocebus torquatus, Kaku Utosi-mwekundu (Collared mangabey)
- Lophocebus albigena, Kaku Mashavu-kijivu (Grey-cheeked Mangabey)
- Lophocebus aterrimus, Babakoto au Kaku Ushungi-mweusi (Black-crested Mangabey)
- Lophocebus johnstoni, Kaku wa Johnston (Johnston's Mangabey)
- Lophocebus opdenboschi, Kaku wa Opdenbosch (Opdenbosch's Mangabey)
- Lophocebus osmani, Kaku wa Kilima Osmani (Osman Hill's Mangabey)
- Lophocebus ugandae, Kaku wa Uganda (Uganda Mangabey)
- Macaca sylvanus, Kaku wa Barbari (Barbary Macaque)
- Rungwecebus kipunji, Kaku Kipunji au Kipunji (Kipunji au Highland Mangabey)
- Macaca anderssoni (Pleistocene ya Japani)
- Macaca jiangchuanensis (Mwanzo wa Holocene ya China)
- Macaca libyca (Mwisho wa Miocene ya Misri)
- Macaca majori (Pleistocene ya Sardinia, Italia) – pengine inaainishwa katika M. sylvanus
Kaku mweusi
Kaku tumbo-dhahabu
Kaku utosi-mwekundu
Kaku mashavu-kijivu
Kaku ushungi-mweusi
Kaku wa Barabari
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.