![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/3/3b/Lille_Collage.jpg/640px-Lille_Collage.jpg&w=640&q=50)
Lille
From Wikipedia, the free encyclopedia
Lille ndio mji mkuu katika mkoa wa Nord-Pas-de-Calais. Mji upo m 18-43 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Lille | |
Mahali pa mji wa Lille katika Ufaransa |
|
Majiranukta: 50°38′14″N 3°3′48″E | |
Nchi | Ufaransa |
---|---|
Mkoa | Nord-Pas-de-Calais |
Wilaya | Nord |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 226,014 |
Tovuti: www.mairie-lille.fr/en |
Funga
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/45/Blason_Lille_3D.png/60px-Blason_Lille_3D.png)
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/3/3b/Lille_Collage.jpg/640px-Lille_Collage.jpg)
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 1999, mji una wakazi wapatao milioni 1.1 wanaoishi katika mji huu.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/ad/Lille-Position.png/260px-Lille-Position.png)