LidköpingFrom Wikipedia, the free encyclopedia Lidköping ni mji na manispaa nchini Uswidi. Kuna wakazi 24,941 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1446.