![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/46/Lee_Byung-chul_%2528crop%2529.jpg/640px-Lee_Byung-chul_%2528crop%2529.jpg&w=640&q=50)
Lee Byung-chul
From Wikipedia, the free encyclopedia
Lee Byung-chul (12 Februari 1910 - 19 Novemba 1987 (miaka 77)) alikuwa mwanzilishi wa kampuni ya Samsung na mmoja wa wafanyabiashara wengi wa Korea Kusini waliofanikiwa zaidi.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/46/Lee_Byung-chul_%28crop%29.jpg/320px-Lee_Byung-chul_%28crop%29.jpg)
Baada ya Chaebol ya Hyundai, Samsung sasa ni kikundi cha biashara kikubwa zaidi ya Korea Kusini.