Kura ya turufuFrom Wikipedia, the free encyclopedia Kura ya turufu (kimataifa mara nyingi Veto (kwa Kilatini "ninakataza") ni haki ya kukataza azimio lisipite wala kutekelezwa hata kama limekubaliwa na wengi.
Kura ya turufu (kimataifa mara nyingi Veto (kwa Kilatini "ninakataza") ni haki ya kukataza azimio lisipite wala kutekelezwa hata kama limekubaliwa na wengi.