Kumbukumbu la Sheria
ya tano kitabu Biblia, mchanganyiko 34 sura ya / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kumbukumbu la Sheria (pia: Kumbukumbu la Torati) ni kitabu cha tano katika Tanakh (yaani Biblia ya Kiebrania) na cha Agano la Kale katika Biblia ya Kikristo.
Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.