Korea Kaskazini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Korea ya Kaskazini (jina rasmi: Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea) ni nchi ya Asia ya Mashariki iliyoko kwenye nusu ya kaskazini ya rasi ya Korea.
Ukweli wa haraka
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Nchi tajiri na kubwa (강성대국) b | |||||
Wimbo wa taifa: Aegukka | |||||
Mji mkuu | P'yŏngyang 39°2′ N 125°45′ E | ||||
Mji mkubwa nchini | Pyongyang | ||||
Lugha rasmi | Kikorea | ||||
Serikali Kiongozi Mkuu |
Udikteta Kim Jong-un | ||||
Kuundwa kwa Ufalme wa Gojoseon Tangazo la uhuru bado chini ya Japani Ukombozi kutoka utawala wa Japani Jamhuri |
3 Oktoba 2333 KKa 1 Machi 1919 15 Agosti 1945 15 Agosti1948 9 Septemba 1948 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
120,540 km² (ya 98) 4.87 | ||||
Idadi ya watu - 2013 kadirio - 2011 sensa - Msongamano wa watu |
24,895,000f (ya 48) 24,052,231 198.3/km² (ya 63) | ||||
Fedha | Won ya Korea Kaskazini (₩) (KPW ) | ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+9) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | none (.kp reserved) | ||||
Kodi ya simu | +850
- | ||||
g Legendary. h Symbolic. |
Funga
Imepakana na Korea Kusini, China na Urusi.