Kizhuang cha Qiubei
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kizhuang ya Qiubei ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wazhuang. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kizhuang ya Qiubei imehesabiwa kuwa watu 140,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kizhuang ya Qiubei iko katika kundi la Kitai ya Kaskazini.