Kiyuyu
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiyuyu kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayuyu katika majimbo ya New South Wales na Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiyuyu, yaani lugha imetoweka kabisa. Uainishaji wa lugha ya Kiyuyu kwa ndani zaidi haujulikani.