Kiyuru
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiyuru kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayuru katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiyuru, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyuru kiko katika kundi la Kidyirbaliki.