Kiyugambal
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiyugambal kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayugambal katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiyugambal, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyugambal kiko katika kundi lake lenyewe la Kiyugambal.