Kiyorta-Yorta
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiyorta-Yorta kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayorta-Yorta katika jimbo la New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiyorta-Yorta, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyorta-Yorta kiko katika kundi lake lenyewe la Kiyorta-Yorta.