Kiyitha-Yitha
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiyitha-Yitha kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayitha-Yitha katika majimbo ya New South Wales na Australia Kusini. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiyitha-Yitha, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyitha-Yitha kiko katika kundi la Lower Murray.