Kiyirandali
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiyirandali kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayirandali katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiyirandali ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyirandali kiko katika kundi la Kimariki.