Kiyir-Yoront
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiyir-Yoront (au Kijir'jorond) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayir-Yoront katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiyir-Yoront, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyir-Yoront kiko katika kundi lake lenyewe la Kiyir-Yoront.