Kiyinhawangka
lugha ya asili ya Australia / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiyinhawangka kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayinhawangka katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiyinhawangka ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyinhawangka kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.