Kiyinggarda
lugha ya asili ya Australia / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiyinggarda ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wayinggarda katika jimbo la Australia Magharibi. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kiyinggarda wawili tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyinggarda kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.