Kiyindjilandji
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiyindjilandji kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayindjilandji katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiyindjilandji, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyindjilandji kiko katika kundi la Kiwarluwariki.