Kiyaygir
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiyaygir kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayaygir katika jimbo la New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiyaygir, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyaygir kiko katika kundi la Kigumbaynggiriki.