![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/a6/Worrorran_languages.png/640px-Worrorran_languages.png&w=640&q=50)
Kiyawijibaya
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiyawijibaya kilikuwa lugha ya Kiworrorran nchini Australia iliyozungumzwa na Wayawijibaya katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiyawijibaya ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyawijibaya kiko katika kundi la Kiworrorran cha Magharibi. Wengine hukiangalia kuwa lahaja ya Kiworrorra.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/a6/Worrorran_languages.png/640px-Worrorran_languages.png)