Kiyankunytjatjara
lugha ya asili ya Australia / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiyankunytjatjara ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wayankunytjatjara katika majimbo ya Australia Kusini na Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kiyankunytjatjara 560. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyankunytjatjara kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.