Kiyandruwandha
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiyandruwandha kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayandruwandha katika majimbo ya Australia Kusini na Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiyandruwandha ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyandruwandha kiko katika kundi la Kikarniki.