Kiyanda (Australia)
lugha ya asili ya Australia / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiyanda ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wayanda katika jimbo la Queensland. Mwaka wa 2012 kulikuwa na wasemaji wachache tu, yaani lugha ya Kiyanda imo hatarini mwa kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyanda kiko katika kundi la Kimariki.