![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/a6/Worrorran_languages.png/640px-Worrorran_languages.png&w=640&q=50)
Kiwunambal
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiwunambal ni lugha ya Kiworrorran nchini Australia inayozwubumzwa na Wawunambal katika jimbo la Australia ya Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kiwunambal 30 tu, na lugha imo hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwunambal kiko katika kundi la Kiwunambal ambalo limepata jina lake kutoka lugha hiyo.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/a6/Worrorran_languages.png/640px-Worrorran_languages.png)