Kiwuliwuli
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiwuliwuli kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawuliwuli katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiwuliwuli, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwuliwuli kiko katika kundi la Kiwaka-Kabiki.