Kiworimi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiworimi kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waworimi katika jimbo la New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiworimi, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiworimi kiko katika kundi lake lenyewe la Kiworimi.