![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/6/6c/Wirangu_Map.jpg/640px-Wirangu_Map.jpg&w=640&q=50)
Kiwirangu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiwirangu ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wawirangu katika jimbo la South Australia. Mwaka wa 2011, kulikuwa na wasemaji wa Kiwirangu wawili tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwirangu kiko katika kundi la Kiyura.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/6/6c/Wirangu_Map.jpg/640px-Wirangu_Map.jpg)