Kiwiliwili (kilatini truncus „gogo“) ni sehemu kuu ya mwili bila kichwa, shingo, miguu na mikono na mkia.
Sehemu kuu za kiwiliwili
Kiwiliwili hutazamiwa kuwa na sehemu 4 ndani yake (pamoja na majina ya kilatini yanayotumiwa na matibabu)
- Kifua (thorax) au (pectus)
- Fumbatio (abdomen)
- Fupanyonga (pelvis)
- Mgongo (dorsum)
Ogani muhimu katika kiwiliwili
Ogani nyingi muhimu zimo ndani ya sehemu za kiwiliwili, kwa mfano
- Kifua huwa na
- Fumbatio huwa na ogani za mfumo wa msago kama vile
- maini yanayotegeneza (bile) ambayo ni lazima kwa msago
- tumbo ambako chakula kinavunjwa na bile
- utumbo mdogo na utumbo mkubwa zinazoondoa lishe kutoka chakula tumboni
- mafigo
- kibofu cha mkojo
- Fupanyonga huwa na
- viungo vya uzazi
- Mgongo huwa na musuli muhimu na hasa
- mifupa ya uti wa mgongo zinapopita neva kati ya viungo na ubongo
Wikiwand in your browser!
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.